Eeeh! Kumbe ndiyo maana mwanabodi Pascal Mayalla hapati uteuzi!!!!?

Maana ya Mayala ni njaa
 
1.Si kweli kwamba amejaliwa kipaji cha uandishi, ni wa kawaida sana

2. Uongozi sio pipi kwamba kila mtu kisa amekuwa na jina au uhusiano na kiongozi fulani basi anafaa kuongoza.Hana uwezo wa kuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…