yeeeeeeaaah!Tunachana chana mistari na vina,
Tunachana chana hata pakiti valua,
Tunachana chana mpaka lebo za bia,
Tunachana ndovu, ngeti, na taska pia,
Tunachana kongoro koto kwa bia,
Tunachana mwendo tukutuku kwa gia,
Tunachana mwendo hata breki zikivia,
Bora liende tukate kiu kwa bia......
yeeeaah,AHAAA
YIIIAAAAH,huh
masaki amesusa,
anahatarisha ajira za watu wasiopungua saba
anasababisha baadhi ya watu kufa njaa
MASAKI kula bia,masaki badilika
bia ndo maisha,bia ndo mila
hahahahahahahah!
UMEKULA SENKSI kwasababu UNATISHA
unashusha rhymes mpaka watu WANADATA
WANADATA DATA DATA DATA DATA DATA
kweli injinia unatisha kila kona
nimekukubali kwa valuu na nyama choma
nimekuheshimu ni kijana wa kimila
tukitoka hapa stendi ya kwanza basihaya
yeeeeeeaaah!
nimekukubali unatisha CHANA CHANA
tunachana chana huku mila twadumisha
tunacha nachana na vikombe tunachana
tunachana laga,tunachana na banana
tukitoka hapo twaenda gesti kuchanachana
tunawachanachana mpaka wao anasarenda
Tukitoka hapo na tukutuku chanachana
ENDELEEAAAAAA MPWAAAAAAAAAAAAAAAAHahaha!
Leo mistari mpaka Masaki atue,
Huwezi acha mila wadau wasistuke,
Tutatwanga vina mpaka msongo umvuke
Masaki stuka mishipa nayo istuke,
Kula bia kula bia kula bia....
Niendelee au nisiendelee? yeah?
hahahaha watu mmedata ..hapa ndani mnaimba Bongo fleva au ..
HODI...!!! HODI...!! Wenyewe...! mwenzenu mimi ni mgeni sana humu jamvini. Ndo kwanza naanza kujifunza kuchangia mijadaLa....!!!!!!
ENDELEEAAAAAA MPWAAAAAAAAAAAAAAAA
ahaaah!YEEEAAAAH!...HUH YEEEAAH
tunamtaka kaiza alete vesi ya kuchanachana
tutachana vina mpaka masaki anasimama
masaki kula bia masaki kula bia
muhudumuuu,hapa kwa masaki tuletee hiyo laga
kaiza chanachana ,masaki pata laga
....yyeeeeaaah!
yeeeeeaaaaah!ahaa!CHECK IT,....!YIAAHKudata ni kudata mpaka kudatadata,
Tutadata na masaki mpaka aache kudata,
Hawezi data na mila tumwache afe-kidata,
Tutadata na data mpaka azipate data,
Tutadata na bia hata kama tukidata,
Huwezi acha kudata kama unataka data,
Tutadata na kudata mpaka data zitadata!
.......................
HODI....! HODI....!! Jamani? Ndo kwanza naingia jamvini kwa mara ya kwanza
Wajumbe nasema tena.. Hodi...! Hodi..!! Wenyewe......???
Kupotea tapotea ka ikibidi kupotea,eeeh ehehehe jamani hapa mmenipotezea siwawezi nyie
yeeeah!mameeen x-pin U THERE?CN U READ THE BOLDED PART?....Binamu nimekukubali kwa mashairi na vina,
Wapwa kwa bongo flava ni kama Kalapina,
TID na Ngwea vina vyao havina kina,
Bila hiyana wapwa laga nitaikamata tena!
Binamu nimekukubali kwa mashairi na vina,
Wapwa kwa bongo flava ni kama Kalapina,
TID na Ngwea vina vyao havina kina,
Bila hiyana wapwa laga nitaikamata tena!
He yupi? He/She?Masaki nashukuru vilevle kwa ukaribisho wako mimi ni HE.
yeeeeeeah!ahah!Katazame SENKSI nilongagonga,
Na nyingine ntagonga ntagonga na ntagonga,
madam bia tagonga na mimi senksi ntagonga,
Kundini umesharudi ingia bila kugonga,
Chonde chonde taratibu michuma usijegonga,
Ankal ntamwambia kreti moja upate gonga,
..........................
Karibu sana, tunaomba ujitambulishe jinsia yako tafadhali, kama wewe ni HE, tafadhali sana twende taratibu maana wengine tuna ''sectret admirers'' wetu humu bado hatujarusha ndoano.....Usije ukaharibu! π