yeeeeeeah!ahah!
YEEAH YEEAAAH
mpwa unatisha mimi geoff nimekubali
unanata na biti hakika wewe ni mkali
nimekukubali wewe ni mkimya lakini mkali
wanajidanganya wanatisha wakati hawawezi
umenata na biti mpaka masaki kakubali
tukutane jambo tukapige pombe kali
tutakula maji mpaka iwe naiti kali
Geoff na Xpin nyie ndo wale vijana wa Nako 2 Nako ..au ni waimbaji wa kujitegemea???
sisi si waimbaji sisi mainjiniaGeoff na Xpin nyie ndo wale vijana wa Nako 2 Nako ..au ni waimbaji wa kujitegemea???
hey masaki leo umepasua jipu hadharani ila secret admire wako kama namjua vile huwa natabiri na shekhe yahya mala moja moja kwa mwaka 😉
atakupiemutehe tehe tehe! Fl wewe kweli kiboko, yaani secret admirer wangu tayari unamfahamu? 🙂 sasa utani-pm au hili nalo linahitaji ''thread'' yake? 🙂
sisi si waimbaji sisi mainjinia
injinia ni muimbaji kwasababu injinia ni creator
ukitupeleka ikulu hata nchi tunaongoza
ukitupeleka vyuoni tunaweza kuwa ma-lecha
ukitupeleka benki kazi yoyote tunafanya
ukitupa mic ndo kama hivi tunachana
tunachana chana mpaka wao wanadata
wamedata data hata vina wameishiwa
kaeni mkao wa kula alubamu inakuja
halafu wewe binti kwanin senksi unabana?
ndo huo huo!mmh nina wasiwasi na huyu mhandisi anaetoa mipasho namna hii, labda uhandisi wa malenga na mnanda!
I thinks soPost new year syndrom
Katazame SENKSI nilongagonga,
Na nyingine ntagonga ntagonga na ntagonga,
madam bia tagonga na mimi senksi ntagonga,
Kundini umesharudi ingia bila kugonga,
Chonde chonde taratibu michuma usijegonga,
Ankal ntamwambia kreti moja upate gonga,
..........................
HODI....! HODI....!! Jamani? Ndo kwanza naingia jamvini kwa mara ya kwanza
Wajumbe nasema tena.. Hodi...! Hodi..!! Wenyewe......???
Lol na leo ndo sikukuu ya mapinduzi kumepoooza zaidi mko kwenye maandamano waasisi???
Wewe vipi hukwenda kwenye maandamano?
Lol na leo ndo sikukuu ya mapinduzi kumepoooza zaidi mko kwenye maandamano waasisi???
Wewe vipi hukwenda kwenye maandamano?
NIMESHAANCHA KUJIUSISHA NA MAMBO YOTE YA NJI HII ,NAWEZA KUCHANGANYIKIWA MASAKI !
NAKUMBUKA ULE MSEMO WA BIBLIA
nI BORA UWE BARIDI AU MOTO KULIKO KUWA VUGUVUGU
NIMESHAANCHA KUJIUSISHA NA MAMBO YOTE YA NJI HII ,NAWEZA KUCHANGANYIKIWA MASAKI !
NAKUMBUKA ULE MSEMO WA BIBLIA
nI BORA UWE BARIDI AU MOTO KULIKO KUWA VUGUVUGU
kwa hiyo FL1 wewe ni moto au baridi
Ndo nini B kuniwahi nilitaka kumuuliza ivoivo lol
na wewe naona mule mule tu pole