hahaa Lily acha kunichekesha tena na wewe!!! Hivi na hii nayo ya kutakiana heri eeeeh!!!! njii hii ina mambo!!!
zamu yao kwenda huko sisi tulienda sana enzi za puraimari na hamna lamaana niliona!!! niliishia kununua ngubit na kuchafua unifomu basi!!!
yewomiii, bht una balaa ama? nimecheka sana tena sana...wewe nipeleke pole pole mwenzio.
have great one wapenzi tutaongea kesho ngoja nikatafute pa kupunguzia machungu ya maisha ...akili itulie ..nyamayao bht ,,Lily kesho
thanks dia, anagalia usinywe sumu tu maana mwka ndo umeanza na kazi nzito mbele yako (2010 kikazi zaidi)
nimeimis ile ya "ngoja nikampikie Hubby".....hahaaa why did I get married!!!
salimia brother in law mpendwa!!!
Mapumziko mema mummy dont do any thing silly..........have great one wapenzi tutaongea kesho ngoja nikatafute pa kupunguzia machungu ya maisha ...akili itulie ..nyamayao bht ,,Lily kesho
hahahaha leo zamu yake kunipikia mwenzio raha kuolewa na kuoa 😉
haaaaaa inaelekea ulikwa mshirika weweee Nyamayao!!!! eeeh ile kitu nilikula best mpaka siitamani tena na siitaki!!!
hahaaa liliy afu maeksipati wa ngubit walikuwa arusha dah nilikuwa natafuna mpaka naskia kizunguzungu hahaaaa
na we Naniliu usijifanye kunisahau!!!! enzi zile za mwalimu Kinyaiya na Laizer!! uwanjani lazima kenda na hakuna kuondoka mpaka programu iishe!!! no mata how sunny it is mtashaaa hapo!!!
ndo maaana tumekinai hii kitu ya maandamano!!!!
haa yaani kuna vitu vingine kama hivo mtu unakuwa ulsahvisahau kabisa...u made ma day dear.
ila sasa sisi tulikuwa na bahati shule yetu ilikuwa karibu na bibi mmoja anauza tunaita wenyewe barafu, dah bibi yule sijui alikuwa mchawi barafu zilikuwa tamu hata kama mvua ya mawe inanyesha unatukuta pale tumeshawahi
have great one wapenzi tutaongea kesho ngoja nikatafute pa kupunguzia machungu ya maisha ...akili itulie ..nyamayao bht ,,Lily kesho
mami naomba ukaburubike na OYOYO wa J Martins...hapa nauwangalia me hoi...oyooo oyoyoo...oyoyoo hii song bwana inaniachaga hoi....bht hebu shusha verse kidogo jamani....
mami naomba ukaburubike na OYOYO wa J Martins...hapa nauwangalia me hoi...oyooo oyoyoo...oyoyoo hii song bwana inaniachaga hoi....bht hebu shusha verse kidogo jamani....
kwa kweli hii nyimbo imebamba mbaya hasa pale anaposema kulukulu okada drivers kulukulu....... mwenye lyrics atutundikie tujimuvuzishe sie
kwa kweli hii nyimbo imebamba mbaya hasa pale anaposema kulukulu okada drivers kulukulu....... mwenye lyrics atutundikie tujimuvuzishe sie
papa n mama kulukulu....haaa bwana naniliu fanya u2ndu tupate japo mawili matatu....
tatizo kiblurei cha naijeria unajua tena inahitajika masikio ya popo