kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Nimejaribu kuweka option za At93C56 lakini inakataa.1. na assume iyo EZP2010 ina support RA57 ( ambayo ni AT93C56 )...
Nimejaribu kuweka option za At93C56 lakini inakataa.
Chip sidhan kama ni mbovu coz ndo nmei-desolder kutoka kwenye ECU, so chances ya kuwa mbovu ni chache sana.
Naomba unielekeze namna ya kutumia arduino kuprogram coz nmefatilia schematics za mtandaoni lkn bado sijafanikiwa. Natumia Arduino Uno.
Shukran mkuu ngoja niifatilie nitatoa feedback
katumia arduino nano, haina tofauti na uno, pins ni zilezile
ukikwama nistue
Mkuu nimekwamia hapo juu, msaada tafadhali🙏🙏🙏ukikwama nistue
Shukran mkuu niliipitia solutions zao wanadai ku-reburn bootloader ila kwa vifaa wanavyotumia hapo sina kwa sasa mpaka niagize na delivery sio ya leo wala kesho af hii kitu inahitajika haraka, so nasubiri kama dronedrake atakua na solution ambayo haitohitaji vifaa zaidi nje ya hivi basic.Kabla kiongozi dronedrake hajarudi unaweza check hii link [SOLVED] verification error; content mismatch inaweza kusaidia.Lakini pia nadhan content mismatch inatokana na data tofauti na isiyotegemewa kuandikwa kwenye chip. Ni Muda kidogo nimetumia arduino,sasa hivi nipo na ndugu yake raspiberry pi kwenye turtlebot 3
Nakuombea ufanikiwe mkuu
Okay mkuu, nilisolve hio avrdude error. Unaweza kunidirect schematic ya Arduino nnayoweza kutumia kusoma hii eepromInaonekana imesababishwa na schematics uliyitumia
Okay mkuu, nilisolve hio avrdude error. Unaweza kunidirect schematic ya Arduino nnayoweza kutumia kusoma hii eeprom
Hii pamoja na ya dronedrake hapo juu nmeshazifuatilia lkn naishia kupata hio avr dude error.Reading and Writing Data to External EEPROM Using Arduino
Reading and Writing Data to External EEPROM Using Arduino: EEPROM stands for Electrically Erasable Programmable Read-Only Memory. EEPROM is very important and useful because it is a non-volatile form of memory. This means that even when the board is powered off, the EEPROM chip still retains the...www.instructables.com
jarib ku upload Arduino ikiwa peke yake bila kua connected na izo parts nyengineHii pamoja na ya dronedrake hapo juu nmeshazifuatilia lkn naishia kupata hio avr dude error.
Sijajua nakwama wp, unaweza cheki setup zangu hapo juu
Toa serial connected devices zote kwenye pin za (Tx,RX) . Upload sketch yako kisha ziconnect tenaHii pamoja na ya dronedrake hapo juu nmeshazifuatilia lkn naishia kupata hio avr dude error.
Sijajua nakwama wp, unaweza cheki setup zangu hapo juu
Shukran mkuu ila niko mbali, lakini nitaagiza hio programmer ulosema hapo juu nijaribu coz hii issue naihitaji mara kwa mara na imekua inanisumbua sanaNipo Moshi kama upo maeneo ya karibu nitafute nitakusaidia maana ninayo unaweza kuja na file yako alafu ukaja ukafanya programe mara moja ukaenda kumaliza kazi yako