Niliiingia chaka nikajiunga na maximalipo kwa kununua machine yao na ku deposit 500000.
Muda si mrefu kampuni imefilisika, hawapokei simu na wala sijui namna ya kupata pesa yangu. Wiki iliyopita EFD machine imeandika full FM na nilipomuuliza dealer akaniambai Fiscal memory imejaa huna jinsi zaidi ya kununua nyingine.
Nina machine mbili za electronic ambazo hazifanyi kazi.
Je, kuna ufundi wowote wa kuweza kuzitumia machine hizi?
Wataalamu naomba msaada.