Mabulungutu
Member
- Oct 29, 2012
- 86
- 101
Kuna group Moja la Whatapps nipo Kuna jamaa kutuma namba akisema anaprint EFD receipt online au anakuuzia software then una print mwenyewe kutumia cm Yako! Na zinasoma TRA kama zilizo printed na machine iliyokuwa registered TRA. Sijajua kama hichi kitu na sawa au Magumashi!
Kama Kuna Mtaalamu humu naomba atujuze au asaidie hio app au software inapatikana wapi? Maana anasema anauza Kwa 300,000 hio Software /App.
Kama Kuna Mtaalamu humu naomba atujuze au asaidie hio app au software inapatikana wapi? Maana anasema anauza Kwa 300,000 hio Software /App.