Huwezi kulinganisha CDM na wahuni wa EFF,tena labda una uzuzu au upumbavu au mchoyo wa ukweli, CDM wanaendesha chama kwenye tanuru la moto wakati EFF wapo kwenye soft landing environments,pili malema ana tuhuma za kifisadi ikiwa ni pamoja na kufilisi bank ,na makelele yote anayoyafanya mwisho wa siku kama kifaranga kulichokoswa na mwewe anaenda kujificha kwenye security complex iliyojengwa na buru, why asijichanganye na walala hoi anaodai anawatetea pale seshogo?,next time acha kulinganisha CDM na upuuzi