Effects za methadone

surambaya

Senior Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
103
Reaction score
28
Kiukweli baada ya kufanya research kadhaa inaonyesha kuwa methadone ina madhara makubwa sanaa kwa hawa wenzetu watumiaji wa madawa ya kulevya.

Ukiangalia uingizwaji na uundwaji wa haya madawa utaona haya madhara na ni sababu zipi zilipelekea nchi nyingi kukataa matumizi ya methadone mf ni russia yenyewe ilikataa tangu mwanzo na ndio kufuatia na nchi karibia zote duniani ila cha kushangaza nchi kadhaa afrika ndio bado esp zile masikini sanaa kama Tz.

Methadone huwa inaleta kitu kama hangover( sto) yaani humfanya yule mtuami wa madawa ya kulevya kujisikia hamu ya kuwa stimu tena asubuhi maana hata ukiangalia hupewa doz ya 60-120 mg ila huwa haisaidii.

Methadone ni kama mtu akimwambia mtu wacha pombe, yaani unaacha kunywa safari lager na kunywa kilimanjaro, inamaanisha kuwa kulewa kuko pale palee na ndio maana wengi wao wakiacha tuu kwa muda huwa wanarudia kwenye madawa mf kina marehemu langa, miteja mingi tuu.

Utafiti uliyofanyika na chuo cha Johapnkisk cha marekani kimethibitisha hilo kwa zaidi hizi.

Kinachotokea ni kuharibika kwa medula oblangata, sehemu ya ubongo na cerebrum na ndio husababisha vidondA kwenye ubongo ( receptors damage) hivyo utumiaji wa metadone huwa hautibu hizi vidonda bali hufanya kumpa mtu stimu kila mara na ndio hujisikia fresh kwa kuwa anakuwa stimu.

Dawa zipo za kutibu kabisa ulevi, madawa ya kulevya na... Ila la msingi ni kujua je nerves zako zimeharibika kiwango gani na zitatibika kwa vidonge au sindano kabisa na kukufanya mtumiaji wa madawa usiwe na hamu ya matumizi ya madawa ya kulevya, ulevi kabisaa. Nerve damage can be of 7, 9...

For more info pls
0719974927
Dr Gudman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…