resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Nmeambiwa niichomoe kwa sekunde 15 kwenye fuse box ili nifute faults baada ya kuwa nmechomoa THA na THW sensors kwenye gari!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GARI AINA GANI MKUU .kuna zingine hata uchomoe haiwezi kukubali hapo kamww sio fundi fanya hivi badala ya kuhangaika na hiyo fuse ww chomoa terminal ya negative kwenye betri kwa huo mda .Nmeambiwa niichomoe kwa sekunde 15 kwenye fuse box ili nifute faults baada ya kuwa nmechomoa THA na THW sensors kwenye gari!!