resonanceiduufu Senior Member Joined Jul 29, 2016 Posts 112 Reaction score 62 Aug 30, 2016 #1 Nmeambiwa niichomoe kwa sekunde 15 kwenye fuse box ili nifute faults baada ya kuwa nmechomoa THA na THW sensors kwenye gari!!
Nmeambiwa niichomoe kwa sekunde 15 kwenye fuse box ili nifute faults baada ya kuwa nmechomoa THA na THW sensors kwenye gari!!
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Sep 12, 2016 #2 resonanceiduufu said: Nmeambiwa niichomoe kwa sekunde 15 kwenye fuse box ili nifute faults baada ya kuwa nmechomoa THA na THW sensors kwenye gari!! Click to expand... GARI AINA GANI MKUU .kuna zingine hata uchomoe haiwezi kukubali hapo kamww sio fundi fanya hivi badala ya kuhangaika na hiyo fuse ww chomoa terminal ya negative kwenye betri kwa huo mda . EFI ni Electronic Fuel Injection
resonanceiduufu said: Nmeambiwa niichomoe kwa sekunde 15 kwenye fuse box ili nifute faults baada ya kuwa nmechomoa THA na THW sensors kwenye gari!! Click to expand... GARI AINA GANI MKUU .kuna zingine hata uchomoe haiwezi kukubali hapo kamww sio fundi fanya hivi badala ya kuhangaika na hiyo fuse ww chomoa terminal ya negative kwenye betri kwa huo mda . EFI ni Electronic Fuel Injection