Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,985
Hao mawingu kwa matangazo ndo balaaHaya matangazo ndio yanawalipa mishahara
Hutaki hamia mawingu fm.kwa mchuuzi dauda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo mkuu hata manjonjo ya bwakila nayo huyataki aukipindi cha michezo cha Efm kile cha asubuhi kimejaa porojo na matangazo mengi mengi hasa ya kamali. kipindi kinaanza saa 3 :00 lakini habari ya kwanza inaanza kusikika baada ya DK 20 huku wakitangaza matangazo tuuu na kupiga masingeli.
ivi kwanini matangazo yasiwe machache kwakuwa kuna vipindi vingine?
huyu kitenge anaruka kutoka nje ya nchi inamaanisha nini kwetu sisi wasikilizaji?
NI HAYO TUU
Yamezidi mkuuHaya matangazo ndio yanawalipa mishahara
Hutaki hamia mawingu fm.kwa mchuuzi dauda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila yasichukua nafasi ya kipindi, na kipindi ikabaki kwenye nafasi ya matangazo, inawachosha waliolengwa kusikiliza.Haya matangazo ndio yanawalipa mishahara
Hutaki hamia mawingu fm.kwa mchuuzi dauda
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ushabiki, hata kwenye kusikiliza redio, yeye katoa maoni yake, sioni mahala alipokosea, alafu wewe usiehusika ndiye umekua wa kumjibu.Haya matangazo ndio yanawalipa mishahara
Hutaki hamia mawingu fm.kwa mchuuzi dauda
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kipindi kiwe mara tatu kwa wiki, ili wakusanye habari, inaonyesha muda mwingine wanakosa habari za kutosha, hivyo kucheza matangazo huku yskijurudia rudia.Shukran kama umeliona hilo mkuu walikuja vizuri sana lakini siku zinavoenda ndio wasikilizaji watapungua matangazo hatukatai yasiwepo lakini yawe interval ya mda fulani kipindi kinaanza saa tatu lakini habari ya kwanza saa tatu na nusu hii sidhani kama iko sawa halafu michezo ya kimataifa inaanza 11:50pm kipindi kinaisha 12:00 pm hapo kuna uchambuzi kweli au kuharakisha habari nadhani wanahitaji kurekebisha hili
Mda ni kitu muhimu sana ukipanga vizuri wasikilizaji hawawezi kuchoka kipindi cha redio yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao nimesha achana nao kitambo. Habari za michezo naingia zangu application za michezo ya kimataifa.
Local News za michezo naingia azam app.
Sent using Jamii Forums mobile app