Pre GE2025 EFM wakejeli maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.

Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa CHADEMA "People".

Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na CHADEMA utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.

Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️

CHADEMA Wamesikika pia wakisema....

"Haya ni maandamano ya kuumiza uchumi"
 
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.

Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa Chadema "People".

Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na Chadema utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.

Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️
View attachment 2912151
Hao nao ni makanjanja kwa asili yao🤓
 
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.

Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa CHADEMA "People".

Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na CHADEMA utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.

Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️

Ngoja tusubiri maoni ya Erythrocyte.
 
sasa nawe wataka kutufunga kamba kwamba mbeya maandamano hayakudorora 🐒

Ni ukweli usio pingika chadema maandamano haya impact yeyote ile kwa mtawala

Kama kweli wana nia umeme unakatika wengi direct watu tanesco ...

Au wangeendamana dodoma makao makuu ya nchi waibane viongozi
 
Back
Top Bottom