Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Ila kipa wako kazidi ๐.Hili la kipa unalaamika kila siku๐๐ through zako umeziona leo nimepiga ngap pale umeludisha mwenyewe kwa kipa๐๐sasa mimi kila siku napambana nazo kutoka kwako๐๐
Mie bado nahangaika kuvuka dvn 3 aisee.View attachment 3324682
Daah kwa tabu sana.maana kila ikibaki game moja ndo unafungwa๐ View attachment 3324684
Ni wakati sasa nitafute hii badgeView attachment 3324682
Daah kwa tabu sana.maana kila ikibaki game moja ndo unafungwa๐ View attachment 3324684
Sawaa kakaNipo mkuu nafasi ikipatikana tutagusa kama kawaida.
๐๐๐Na game zako nataka awe anacheza Ederson maana ana kicking power 90Ila kipa wako kazidi ๐.
Division 3 si ndo upo Division 2๐๐Mie bado nahangaika kufika dvn 3 aisee.
Typing error... Nilimaanisha kuvuka siyo kufika.Division 3 si ndo upo Division 2๐๐
Namna hiyo idumu haram football idumu. ๐Mikasa ya hapa na pale imenikuta asubuhi hii ila hatimae nimetoa gundu la dvn 3.
Konami wakaniletea hiki kiumbe kwenye mechi ya mwisho.
๐
View attachment 3324976
Nilikuwa sielewi naanzaje kupata ushindi ila kufika dakika ya 70+ kijana mdogo akapiga outside curl mpaka nikashituka maana mechi ya maamuzi halafu unapiga goli tamu la nje ya box.
๐
View attachment 3324977
Akafanya dakika 90 kukamilika kwa ushindi muhimu wa goli 0-1.
๐
View attachment 3324978
Ushindi uliofanya kufikisha alama zinazohitajika ili kufika dvn 2.
๐
View attachment 3324979
Na hatimae nikatangazwa kuwa ni miongoni mwa wanafamilia wa dvn 2.
๐
View attachment 3324981
Ila huyu jamaa amejua kuwanyoosha nahisi waliyekutana na mimi nikicheza harram football wanasimulia ubaya wake ๐.
๐
View attachment 3324982
Ahsante harram football ๐.
Jini katoka ila mganga kalazwa ICU ๐.
Mitano tena kwa harram football ๐.Namna hiyo idumu haram football idumu. ๐
Hongera kaka nitafute sasa badge ya division 1๐๐๐Mikasa ya hapa na pale imenikuta asubuhi hii ila hatimae nimetoa gundu la dvn 3.
Konami wakaniletea hiki kiumbe kwenye mechi ya mwisho.
๐
View attachment 3324976
Nilikuwa sielewi naanzaje kupata ushindi ila kufika dakika ya 70+ kijana mdogo akapiga outside curl mpaka nikashituka maana mechi ya maamuzi halafu unapiga goli tamu la nje ya box.
๐
View attachment 3324977
Akafanya dakika 90 kukamilika kwa ushindi muhimu wa goli 0-1.
๐
View attachment 3324978
Ushindi uliofanya kufikisha alama zinazohitajika ili kufika dvn 2.
๐
View attachment 3324979
Na hatimae nikatangazwa kuwa ni miongoni mwa wanafamilia wa dvn 2.
๐
View attachment 3324981
Ila huyu jamaa amejua kuwanyoosha nahisi waliyekutana na mimi nikicheza harram football wanasimulia ubaya wake ๐.
๐
View attachment 3324982
Ahsante harram football ๐.
Jini katoka ila mganga yuko ICU ๐.
Kaza vidole ๐.Hongera kaka nitafute sasa badge ya division 1๐๐๐
Smart assist ina cover maeneo gani au inasaidia nini ?
Hii week sidhan kama nitacheza hiiKaza vidole ๐.
Umempata??Boom๐ฅ ๐ฅ
View attachment 3325136
Drogba anamsubiria huyu jamaa wapige kazi vizuri.Boom๐ฅ ๐ฅ
View attachment 3325136
Ndiyo nimempata leo๐Umempata??