Huyo blitz curler atatuua mzeeπView attachment 3344376
Njo kwa huyu π
Poa ukiingia tu nakutumia invite.Sawa kaka. Tukutane humo Nafungua game hapa
Mi mpaka saivi simuelewi anapaisha tu π nadhani labda mi ndo sina uzoefu na blitzHuyo blitz curler atatuua mzeeπ
Malimbe karibu na SAUT njia ya kwenda Lucheleleππ mi sipajui bana.. labda iwe Misungwi huko π
Kutesa kwa zamu mkuu πRazorblade kwa hizi spana inabidi umpige mkono Selikavu π€
Ohh ume mshusha Sana, yuko vizuriMagame yake yatakuwa yale aina ya candy crush saga.
π kumbe na wewe umo.. sawa bana mi nipo Kisesa hukuMalimbe karibu na SAUT njia ya kwenda Luchelele
Angalia tutorial zake u tubeMi mpaka saivi simuelewi anapaisha tu π nadhani labda mi ndo sina uzoefu na blitz
Upo wilaya gani wewe??ππ mi sipajui bana.. labda iwe Misungwi huko π
Dah hata mimi nalala mapema,ππLeo sitaki invite yoyote muwe na usiku mwema......
Razorblade lolote baya likukute room utakayoingia....
Labda Lara Craft πOhh ume mshusha Sana, yuko vizuri
We mbwa si uli sema usiku mwema?, au ndio mbwembwe za kihaya π€Upo wilaya gani wewe??
Kumekucha πDah hata mimi nalala mapema,ππ
MaguUpo wilaya gani wewe??
Atakusimanga sanaπNishasema siku nikifungwa sijui nitaweka wap sura yanguπππ
Huyu ukiingia uwanjani unammark mapema tuuHuyo blitz curler atatuua mzeeπ
Watu mnaijua mwanza aseeeπππMalimbe karibu na SAUT njia ya kwenda Luchelele
Madaktari wana shauri tulale masaa 8, hata mimi nakubaliana nao.Kumekucha π