Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Haijarudi mkuu, Selikavu kazingua tu kucheza game rahisi ๐Alonso derby imerudi hatimaye ๐
Kama hotspot ya simu inaweza ikawa slow...Hivi ukitumia hotspot game linakuwa slow?
Eeh mkuu nimekula zangu kichapo safi kabisa ๐๐๐Alonso derby imerudi hatimaye ๐
Huyo ni mkongwe maana kwenye kikosi ana Ruben Neves wa booster moja meaning alikuwa nalo sema hacheziSijapata simu mkuu, kuna mtu natumia simu yake na kikosi chake inaonekana ndo alikuwa anaanza game.
Hapana nilivyofungua game ndo wamenipa huyo kama ukaribisho baada ya game kutofunguliwa kwa muda mrefu.Huyo ni mkongwe maana kwenye kikosi ana Ruben Neves wa booster moja meaning alikuwa nalo sema hachezi
Shinda hata 100 mkuu.Unataka Game ya Kirafiki nishinde 16๐๐๐
Kheeh๐Hapana nilivyofungua game ndo wamenipa huyo kama ukaribisho baada ya game kutofunguliwa kwa muda mrefu.
Ama na mimi nisifungue game muda mrefu wanipeHapana nilivyofungua game ndo wamenipa huyo kama ukaribisho baada ya game kutofunguliwa kwa muda mrefu.
๐๐๐Sasa si bora ucheze na AiShinda hata 100 mkuu.
Jichanganye ๐Ama na mimi nisifungue game muda mrefu wanipe View attachment 3382839
Haina mzuka ๐๐๐๐Sasa si bora ucheze na Ai
Nipo hapa manNani yupo tuguse kabla mambo ayaja ingiliana๐๐
Nilete codeNipo hapa man
LeteNilete code
Weka usernameNilete code
ThunderkickWeka username
AcceptThunderkick