Umefikia wapi sahizi mkuu, Mbona ulibakisha points chache sana to division 1?nime achana na dvn asee watu wana tembea na smart assist hatariπΉπΉ
KabisaKama Kuna namna ya kufanya campaign itolewe Division tufanye tuu
Only way ya kupumzika ni kulifuta na upate kitu cha kureplace, Lakini kama lipo kwenye simu sahau, Niulize mimiπKabisa
Mimi napumzika kucheza hili game
sasa. Ni kama unacheza na watu wawili.
Dah KONAMI watatuuqπOnly way ya kupumzika ni kulifuta na upate kitu cha kureplace, Lakini kama lipo kwenye simu sahau, Niulize mimiπ
Alibakiza point chache sana angekomaa leo angetoka na Badge ya division 1Umefikia wapi sahizi mkuu, Mbona ulibakisha points chache sana to division 1?
Kabisa yanπππ mtu anafanya dribble kama pro vile kumbe smart assist πππKabisa
Mimi napumzika kucheza hili game
sasa. Ni kama unacheza na watu wawili.
πΉjana nime kandwa sana asee nime shuka hadi 1660 saiv ,ilkua napanda hadi 1770 then nashuka tena hadi nikachoka.Umefikia wapi sahizi mkuu, Mbona ulibakisha points chache sana to division 1?
πΉπΉwatu wana kimbizana na deadline asee , season ya kesho kutwa tapanda nalo tenaAlibakiza point chache sana angekomaa leo angetoka na Badge ya division 1
Bila kuchoka πUbaya ubwelaπ
Huyo mwamba kakimbia hata kipindi cha kwanza hakijaisha, chuma 3 kaona isiwe tabu πHasa akiwa na wachezqji wenye nguvu kubwa kukuzidi
Hapo kwa haraka haraka sio chini ya 300
Ukisikka paah... πHapo kwa haraka haraka sio chini ya 300
Si wenye account yenye gundu tunaendelea tulipoishia
kesho hiyo
View attachment 3399445
Huwa unabahati mkuu unaweza okota hata 10/20 π
Familiya kabisa ππππ Konami si wajomba