Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Nakaza mkuu π.Kaza kakaπ
Nimefika mkuu.Razorblade mkuu nipo hapa nangojea Xabi Alonso
UtanikutaNimefika mkuu.
Mkuu nina match na Razorblade naomba nikamkamie na yeyeπCarnage21
Kijana asee unakabia juu juuππMkuu nina match na Razorblade naomba nikamkamie na yeyeπ
Ila salute kwako mkuuπnimezidiwa uwezo
Ukabaji wangu wa bahati nasibuKijana asee unakabia juu juuππ
PoaUtanikuta
Naona una match ukimaliza nishtue tuu
Nipo na carnage21Naona una match ukimaliza nishtue tuu
Kanipiga 3 hapa chapchap.ππππUnakuta mchezaji wako tegemeo yupo Terrible π
Yanakuja mkuu, carnage21 natumai mechi ya kwanza matokeo umescreenshot.Matokeo myalete hapa kama ikiwezekana...
Mimi nimepigwa na mpira mkubwa nimechezewa
Nilikuwa namuwahi Selikavu mkuu naona kaenda kucheza events.Tucheze ya tatu mkuu mbona umepotea ghafla
Poa ngoja niyaweke.Sijascreenshoot kaka