Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Hivi hakuna mechi zilizochezwa mpaka muda huu?Maswala siku zote hakuwepo leo ndo kaja limenisikitisha sana, ๐
Jana me nilufungwa๐๐๐๐ซตAsinikamie tu maana mie bado noob ๐
Bado hakunaHivi hakuna mechi zilizochezwa mpaka muda huu?
Ulicheza nae? ๐Jana me nilufungwa๐๐๐๐ซต
Muda wa hekaheka ๐Bado hakuna
Ngoja ifike saa tatu ๐๐๐ซต
Eeh FriendlyUlicheza nae? ๐
Uliniachia mkuu hukuwa kwenye kiwango chako.Jana me nilufungwa๐๐๐๐ซต
Kile ndo kiwango changu sasa๐คฃ๐คฃ๐คฃUliniachia mkuu hukuwa kwenye kiwango chako.
Kwa hizi statistics zimenipa mwanga wa kujua naenda kukutana na mtu wa aina gani ๐Eeh Friendly View attachment 3434007
Aagh au ulimpa mtu simu.Kile ndo kiwango changu sasa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Imagine mimi nimemizidi pasi๐คฃ๐คฃnajua ushaelewa cha kufanya๐๐๐Kwa hizi statistics zimenipa mwanga wa kujua naenda kukutana na mtu wa aina gani ๐
Vile unavyokamia mkuu na amekufunga, mie soft ball si nitaoga mengi ๐Kile ndo kiwango changu sasa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐ฅน๐ฅนKwa hizi statistics zimenipa mwanga wa kujua naenda kukutana na mtu wa aina gani ๐
Ndo kiwango changu kaka๐๐๐Aagh au ulimpa mtu simu.
Mbona nimeliona hilo kaka ๐Imagine mimi nimemizidi pasi๐คฃ๐คฃnajua ushaelewa cha kufanya๐๐๐
Mnapanga kunimaliza ๐๐,Imagine mimi nimemizidi pasi๐คฃ๐คฃnajua ushaelewa cha kufanya๐๐๐
Yan nimkamie mtu alafu nipige pasi kumliko wewe uliona wap๐๐คฃ๐Vile unavyokamia mkuu na amekufunga, mie soft ball si nitaoga mengi ๐
Hapa nijiandae kiakili, hiyo dvn level yake imebeba siri nzito ๐Yan nimkamie mtu alafu nipige pasi kumliko wewe uliona wap๐๐คฃ๐
Tuguse sahizi ili uwe na amani.Hapa nijiandae kiakili, hiyo dvn level yake imebeba siri nzito ๐
Ana Badge ya div 1??Hapa nijiandae kiakili, hiyo dvn level yake imebeba siri nzito ๐