Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
π€£π€£π€£ mkuu unataka jamaa asusie kunipa mafunzo...uzuri yeye anajua hatua zangu badoπΉana kubonda afu anakuja kukushukuru kwa kumfundisha mifumo
π€£π€£π€£π€£πdadekiEti anakwambia amejifunza mengi sana πππ
Mtu akiamua kukutukana hakuchagulii tusi πππ
π€£π€£πΉwe hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzaniaπ€£π€£π€£ mkuu unataka jamaa asusie kunipa mafunzo...uzuri yeye anajua hatua zangu bado
Dah! Nitaamsha waliolala kwa kicheko ππππΉπΉ Selikavu ana mwambia jamaa kila siku afanye kupiga vile vi penalty ,ukute apo pro Kandambili1 alikua anacheka sana
hahaha set up yote naibeba kwake....angalia back 4 hiyo....pia sababu najifunza forward zangu haziwezi perform kama yeye....Selikavu hachezi hivyo sasa we unachukua mbinu gani kwake? πππ
Uzalendo kwanza au siyo? ππππ€£π€£πΉwe hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzania
mkuu mbona ulinifunga game 2 zote hahaha mimi ndio niombe uzalendo wako kwa Mimi noobπ€£π€£πΉwe hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzania
πΉπΉπΉsio poa
πΉmambo ya kula mkono na li kikosi lote ilo sioUzalendo kwanza au siyo? πππ
πΉπΉπ€£tusubiri keshomkuu mbona ulinifunga game 2 zote hahaha mimi ndio niombe uzalendo wako kwa Mimi noob
Sasa Selikavu ni mwalimu wa Civics na wewe mwanafunzi unasoma Physics, hakuna uhusiano kabisa πππhahaha set up yote naibeba kwake....angalia back 4 hiyo....pia sababu najifunza forward zangu haziwezi perform kama yeye....
Batigoal alikuwa anazurula tu uwanjani ππππΉmambo ya kula mkono na li kikosi lote ilo sio
Uzalendo muhimu mkuu....sawaπΉπΉπ€£tusubiri kesho
nabeba vya muhimu vingine naongezea pia...hahahSasa Selikavu ni mwalimu wa Civics na wewe mwanafunzi unasoma Physics, hakuna uhusiano kabisa πππ
Mbona kama nakufahamu kaka ππ
Michezo hiyiπ€£Mkuu unataka selikavu asinisaidie aiseh π€£π€£π€£π€£ mbinu zote nachota kwenye kucheza nae.
Maskini roho yangu mimiπ
Tugange yajayo πππFalaaaaπ€£π€£π€£