Moja๐Shukran mkuu...hivi ni game 2 au 1?
Michezo hiyo we jamaa acha kutuchezea kaka๐คฃ๐คฃmkuu wapi errors zipo kibao sana... ujuzi natoa huku huku
Huyu jamaa anatuchora tuu๐๐Halafu ana katabia. First half anacheza kama noob then second half anafungulia booster kama pro๐
Atume matokeo huyo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ...amemzuia Puskas dakika zote 90Kwel kabisa mkuu huyu jamaa ni pro ๐๐Aseme ukwel tuu
Game mmoja
Mkuu umeisha sahau ulikuwa unanipa ABC humu ... Pia bado kikosi hakijakaa vizuri ila tutafika.Michezo hiyo we jamaa acha kutuchezea kaka๐คฃ๐คฃ
Kwel kabisa me naenda kuunfriend hii account yake ya mchongo ๐คฃ๐คฃNjoo na main account yako mkuu๐
Michezo hiyo Kandambili1, ๐hahaha mkuu nafikiri ni booster ya coach tu na wachezaji wenyewe....pia huwa na analyse mtu anavyocheza first half naamua niingiaje second half
Matokeo yapo wapItapigi kesho tupige kiume mechi 3
Mkuu ila ukiangalia kwa makini errors ninazo nyingi mno sio pro na siwezi kabisa kufikia hiyo level kwa sasa .Kwel kabisa me naenda kuunfriend hii account yake ya mchongo ๐คฃ๐คฃ
Uliniingiza mkenge tuu๐คฃ๐คฃMkuu umeisha sahau ulikuwa unanipa ABC humu ... Pia bado kikosi hakijakaa vizuri ila tutafika.
Matokeo yapo wap
Aah wap kaka๐๐Mkuu ila ukiangalia kwa makini errors ninazo nyingi mno sio pro na siwezi kabisa kufikia hiyo level kwa sasa .
ah wapi mkuu.... Sema nashukuru bado nakomaa na mambo madogo madogo.Uliniingiza mkenge tuu๐คฃ๐คฃ
Kuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa ๐๐๐Razorblade kaka kwema apo .
Endelea kaka ukichoka utakuja na main account yako ๐คฃ๐คฃah wapi mkuu.... Sema nashukuru bado nakomaa na mambo madogo madogo.
Usiseme upepo sema pepo baya ๐Alitaka kufanya siri ๐น๐น๐นdadekii ila siku izi Razorblade kapitiwa na upepo mbaya
Mamiyake ๐๐Kuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa ๐๐๐