Tuma code basi.Ndioo
Tuma tuuMkuu sio masihara nikionesha draft ya mojawapo ya kikosi changu kimoja watu watapotea humu
Kivumbi leoπKandambili1 nisamehe mkuu πππ
Daah jamaa kanichezea mpira ingekuwa mechi 1 tu ningeikimbia sema nikakaza nisubirie tu mechi ya piliKivumbi leoπ
Dah! Labda kesho night mkuu.View attachment 3461811tutamalizia iliyobaki charge kipengele βπΎ
Na ushukuru ma mtu alikuwa anasumbua na masimu yake π€£π€£π€£π€£π€£...nimebondwa nimebondeka.Kandambili1 nisamehe mkuu πππ
Daah π ungeniua kaka, ulitaka nishike mkia mapema hiiNa ushukuru ma mtu alikuwa anasumbua na masimu yake π€£π€£π€£π€£π€£...nimebondwa nimebondeka.
Yan ashukuru kabisaπ€£π€£π€£angekufa nje ndaniπ€£π€£Na ushukuru ma mtu alikuwa anasumbua na masimu yake π€£π€£π€£π€£π€£...nimebondwa nimebondeka.
Nashukuru sana mkuu....yes nacheza hivyo sababu siwezi fanya movement nyingi mkuu kwenye game....hahaha nashukuru nimejifunza vingi mkuu.Kandambili1 GOOD GAME MKUU π₯ππ«°
baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako π₯π₯΄π
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu ππ
View attachment 3461813View attachment 3461814
Wakuu mjipange bingwa Kandambili π€£π€£Kandambili1 GOOD GAME MKUU π₯ππ«°
baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako π₯π₯΄π
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu ππ
View attachment 3461813View attachment 3461814
ππ mmeamua kuungana sioYan ashukuru kabisaπ€£π€£π€£angekufa nje ndaniπ€£π€£
Siwezi mkuu skills zako zipo juu sana....nimeshindwa kuendana na Kasi yakl....Daah π ungeniua kaka, ulitaka nishike mkia mapema hii
π duh umejifunza nini sasa?Nashukuru sana mkuu....yes nacheza hivyo sababu siwezi fanya movement nyingi mkuu kwenye game....hahaha nashukuru nimejifunza vingi mkuu.
Mkuu na unaona nimebondeka 4 hapo juu π€£π€£π€£Wakuu mjipange bingwa Kandambili π€£π€£
Me nipo kucheka tuuπππ€£π€£sasa kama Kandambili kakusumbua wewe nani mwingine amebakiπππwa kumfungaπππππ mmeamua kuungana sio