Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Anataka ajipigie noob mimi, nimecheka kifala πππ
Mimi nataka unifundishe kupiga hizo tackling, huwa napiga reckless tackle naishia kupata kadi ya njano au nyekundu πππNilicheza na Morocco, nkamfunga 5-1
Tackels zipo zipo nkaona nikiileta hii Razor atasema me sio mwema naumiza watu π
Ingawa na Morocco walikuwa na tackels 3
You're welcome.Sijui nkutest kabla sijalala
Hata kipindi kimoja tu ππ
Kazini kwangu kuna kazi πNataka nianze nae nimfunze adabuπ
Kaniambia me napiga watu mabuti. Nimeumia sana π₯Ήπ₯Ή
Ukishinda mechi ya kwanza kwenye event pvp unapata coin 50Nikikufunga 3-0 napata ngapi?
Cheap.. compared to candy crush
Mkuu umenifunga mechi ngapi kwenye historia yako? πππKwani Kuna mnyonge mwingine zaidi yakeπ
Aje nmkodishe kikosi asije na Kina mpanzuKazini kwangu kuna kazi π
Nachoka mimi... πAnakosa hadi daily penalty π
Fala sana πUnaweza mapema tuu π
kaza wiki moja inatosha kupiga kibonde huyo
Khalas ππMibuti tu π€£π€£
Ila umejua kunitesa hii wiki πNachokaaπ
Sema Kuna situation ana pitia mwanetu.
Akikaa sawa utakimbiaπ
Mnaufala mwingi sana, ngoja niandae atomic bomb πππMwenye ile nyimbo ya mapenzi hayana mwenyewe aiweke hapaππView attachment 3591402
Mimi nazitaka hizo tackle we unapunguza, kuna wakamiaji ukicheza bila tackles hutoboi πKaza mwendo.. penye mateso njia iko karibu..
Nilijaribu match up mie
Tackles zikapungua π€£
Nataka zibaki kdg.. ili Razor asiniseme
Nafwaaa πNapikiwa kikosi
Kinaiva soon
Atatafuta pakujificha asipaoneππ€
Dah πAlisema atarudi saa 5
Leo nalala mapema, bahati yake π€£
Heeh! Kazi kipimo cha utu πNjoo na coin, na mimi pale pawake wake
Sitoi elimu bure ππ
Jambo jema kabisa master πππ€£π€£ uzuri nimeshakuona kule
We ngojaaaa