๐๐๐mbn unajitetea mapema mzeeSawaa kaka ya jana yameisha๐๐๐me kibonde tuu
Embu nitajie huyo mpiga penati anaitwa nani kwanza ๐Mimi ndo nimeamka
Nishibe chai.. nipate penati nije kupitia ๐คฃ
Good morning all
Hahaha mbn hupost ile uliyo shinda ww
Mechi ya kwanz yan dakk 3 magol mawili aise nilichok pale, nikaishiw pawa๐๐
Niliona nikajua huna net ikabid nislow down kwanza๐๐๐Mechi ya kwanz yan dakk 3 magol mawili aise nilichok pale, nikaishiw pawa๐๐
Sikuscreenshot๐Hahaha mbn hupost ile uliyo shinda ww
Kaka siku hizi umekua mnyonge kwani
Amepata.. leo kipa kaenda kule kule nilikopiga, ila mie niliinyanyua juu kimtindo so ikazama ndani๐๐Embu nitajie huyo mpiga penati anaitwa nani kwanza ๐
Good morning.
Net ilikuwepo ila cjuh shida nn ๐ ndio maan mech ya pili nikaon hap ni kaze sasa vidole kam wasemavyo ma playerNiliona nikajua huna net ikabid nislow down kwanza๐๐๐
Owaa watu wanatembeza kichapo๐๐ulud tuu labda Rooney atawaweza๐ ๐ ๐Kaka siku hizi umekua mnyonge kwani
Aah kumbe ningeendeleza moto๐๐Net ilikuwepo ila cjuh shida nn ๐ ndio maan mech ya pili nikaon hap ni kaze sasa vidole kam wasemavyo ma player
๐๐tutagusa tenaAah kumbe ningeendeleza moto๐๐
Hahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yaoOwaa watu wanatembeza kichapo๐๐ulud tuu labda Rooney atawaweza๐ ๐ ๐
๐ wanadai kwamb wanachaji hio hela kwa7bu ya policy za nchi ye2 nayo inawachaji hela nyingiHahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yao
Siku nikiweza kufikisha hizo pasi 100+ nitafurahi sana ๐๐
Kwa heshima master ๐๐Amepata.. leo kipa kaenda kule kule nilikopiga, ila mie niliinyanyua juu kimtindo so ikazama ndani๐๐
Nikutajie umuibe?
Huwa unabutua mbele mbele yao??Siku nikiweza kufikisha hizo pasi 100+ nitafurahi sana ๐๐
Hapana ila tangu nimeanza kucheza game sijawahi fikisha hizo pasi hata nikicheza na AI ๐Huwa unabutua mbele mbele yao??
Daah itabid tuhamie tuu Whatsapp japo tulikuwa hatutaki hiyo kwa ajili ya kumntain Anonymous ya JfHahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yao