Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Unalijua vibe la comeback kwenye hili game? Unaweza amsha majirani πUtamfunza mdo mdo mwende sawaπ
Humo ndani muwe na mechi nyingi
Me ndo mwanao kakaOya unachoma utambi sasa π
Utu uko wapi?
Ndo yeye mkuu yani tangu apate wa kumliwaza huko selfika basi zile hasira zake za kuwa single kwa muda mrefu zote zinaishia kwangu πππππ Unazungumzia Edo
Aah familiaππFala wewe π
Mechi nyingi πππUtamfunza mdo mdo mwende sawaπ
Humo ndani muwe na mechi nyingi
Huwa napita kimyakimya, leo nilitaka kureply kwenye comment yako kuhusu series ya prisoner nikavunga.Mbona uzi wa movie hufiki kushea hizo taarifa
Nakubali πUwezo mdgπ
Me nilijua akija na chache sana ni tanoHuyo balaa atakuja kuwapa uchambuzi π€ ππ€ ππ€
Hata me naona maana nilijua hatoboiKapigwa mibuti
Nakuweka kiporo πKujilemaza tuuπ
ππDah utengwe
Fanya hivyo πNitaenda Temu kuagizaπ
Siwezi mfanyia hivo π€ ππ€ πMe nilijua akija na chache sana ni tano
Kama ni lens hata mimi natumia πHujui miwani? π
Glasses..
Spectacle..
Niombe code mkuuUnalinda brand?
Unajikuta yuda πDah umeona kama me Nakukataa mno mwanangu π
Aagh! Huyo sifanani nae yeye sasahivi anaitwa ba mpenzi πNdege wafananaoπ€£