Sawa. Haina nomaNafasi niliyonayo hapa ni ndogo mkuu.
Wakifika utawaona tu.Nitawarudia usiku, mana nimesikia JF humu kuna waalimu wazuri wa eFootball π₯΄π₯π
Sasa B si form nzuri kabisaHata ribery nae ni B, nilimuweka kwa hisani tu π.
Nilishamuachia kitambo tuuMpige chini huyo wa 99.
Sawaa upo coming LBCπ€£Haya endelea kuchoma coins mie zangu nitachoma kwa Gesperin tu.
Razorblade kazi yako hii kakaπ€£π€£Oya wakuu, aliepo free tuzame akanifundishe mchana nilikosa muda π
Usiku kaka mishale ya saa nne nitakuwepo hapa tupeane ujuziππila kwangu utajifunza kubutua na kuconcede goal nyingiππNitawarudia usiku, mana nimesikia JF humu kuna waalimu wazuri wa eFootball π₯΄π₯π
Nipo nakula tizi la kutosha π.Sawaa upo coming LBCπ€£
Sawaa kaka endelea kula me nitaamia possession games sio mudaNipo nakula tizi la kutosha π.
Huko mie hapana bora nipossess kwa kutumia QC.Sawaa kaka endelea kula me nitaamia possession games sio muda
Mshindi anapigwa Banππ kama zawadiEdo kissy kwanini usianzishe JF eFOOTBALL NIGHT CUP?
Kama wazo likipita app hiyo ya kuandaa.
πππ
View attachment 3314327
Yani kupigwa ban ndo iwe zawadi π.Mshindi anapigwa Banππ kama zawadi
Nataka nijaribu tuuHuko mie hapana bora nipossess kwa kutumia QC.
Eeh uende ukapunzishe kichwaππYani kupigwa ban ndo iwe zawadi π.
Managers unao wangapi?Nataka nijaribu tuu
Alonso anayoManagers unao wangapi?
Hiyo mbaya π.Eeh uende ukapunzishe kichwaππ