๐ค๐คJf Champions league
Winner 20k
Runner up 15k
3rd place 5k
Washiriki...
1. Selikavu
2. Razorblade
3. Kandambili1
4.
5.
6.corrie16
7.Lestone
8.
9.
10. WarlD
Tupe username mkuuPack ya wajapan,humo ni violence tu,me sichezi kabisa huku.
Umeniwahi nilikuwa nataka nimuite huku ๐Tupe username mkuu
Ulisema umebanana kaka๐Hii ligi imenipita nikiwa wapi asee
aaaah kumbe ndo maana ulinicheki kipindi kileUlisema umebanana kaka๐
Umeachana na eFootball umeamua kutengeneza kimasihara ๐๐๐๐ila kimasikhara ningekuwaa sio mvivu ku type essay ningeshusha๐๐ฎ
Tumuachie uzi wake๐Umeachana na eFootball umeamua kutengeneza kimasihara ๐๐
Ndo hatua inayofata haiwezekani atelekeze uzi wake kwa kuzurula kwenye nyuzi za watu ๐Tumuachie uzi wake๐
Simumnacheza kwenye simu au pc