eGA inauawa rasmi?

Eneweiz muda utaongea lakini katika taasisi zilizokuwa zinapokea fedha nyingi, tena bila kwikwi hawa eGA wamo.
Sasa sijui walikua wanapanda wakitarajia nini? Hii taasisi Development Centres zake zimewekezewa vyakutosha, leo from nowhere boom, tunaikacha.
 
Sanaaaa, Kama tu eGa ina assemble na ku develop Softwares ambazo zina handle Milions of sms Pushing kwenda kwa Customers per Day (MAJIIS), hao watu bado wanabezwa tu?. Tuwe wazalendo na vya kwetu, Tusimwamini Mhindi tu, tukadharau vya kwetu.
 
Au unataja eGA iendelee muendelee kupeana kazi kwa kujuana. Waiue tu, haina faida kwa maslahi mapana ya nchi na kiuchumi
πŸ˜€πŸ˜…Mkuu
Acha Hasira Twende Taratibu
Tanzania Hii Ina Mazuri Mengi Yanayokwamishwa Na Watu Wapenda Cash Pekee Yao
 
Miaka yote hii mumetengeneza mfumo wa maji tu? Na mfumo wenyewe bado wasoma mita wanachukua taarifa manually na kutubambikia bills. eGA munastahili kusambaratishwa tu
 
Inaelekea Mleta mada ana maslahi binafsi na eGA kubaki utumishi. Kwani ni nani amesema eGA ikihamia Wizara ya Mawasiliano itaacha kufanya kazi inayofanya sasa hivi?

Kuhamishia taasisi kwenye wizara ni jambo la kawaida. Kilichopendekezwa hapa ni mambo yote yahusuyo TEHAMA yawe pamoja ili kurahisiha uratibu. Sera na sheria za TEHAMA ziko chini ya Mawasiliano sasa taasisi inayotekeleza hiyo sera inakuwaje chini ya utumishi
 
Uko usingizini huwezi kunielewa
 
Idara ya usalama wa nchi hii ni idara ya usalama wa wanasiasa na sio wa nchi period , wapo gizani kama enzi za mkwawa
 
Huyu Nape aliyeleta mdoli kutoka South Africa, Ndio aisimamie eGA.

Kama nchi inawezekana tumelaaniwa
 
Mkuu naomba kujua uhusiano kati ya MUSE na hiyo ERMS
 
Mama Samia hapo umeingizwa chaka. Inawezekana ukaja kushtuka baadae sana. Pole
Wewe wetangula ni mnufaika wa mfumo au ni mfanyakazi wa eGA. Ni kitu gani kinakuaminisha kuwa Rais ameingia chaka.

Hivi haya makitu yote kuwa ofisi ya Rais yanaleta tija gani? Treasury Registrar, ATCL, eGA etc
 
Naunga mkono HOJA πŸ™

Hayakuwa maamuzi sahihi kuwarudisha vijana wezi waliokataliwa na Mzalendo Magu.

Control number,mfumo huu umesaidia sana kudhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma.
 
Naunga mkono HOJA πŸ™

Hayakuwa maamuzi sahihi kuwarudisha vijana wezi waliokataliwa na Mzalendo Magu.

Control number,mfumo huu umesaidia sana kudhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma.
State has been captured , wahuni wana run show
 
Wewe wetangula ni mnufaika wa mfumo au ni mfanyakazi wa eGA. Ni kitu gani kinakuaminisha kuwa Rais ameingia chaka.

Hivi haya makitu yote kuwa ofisi ya Rais yanaleta tija gani? Treasury Registrar, ATCL, eGA etc
hata kama ni mnufaika wa mfumo ,eGA ni chombo ambacho kilikua kimebaba ndoto kubwa sana za usalama wa kitehama nchini ,wapigaji wangeweza kupiga pesa bila kuua eGA , kuua eGA ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…