farajamilele
Member
- Feb 12, 2014
- 91
- 63
Naomba kujuzwa maandalizi ya egg chops
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahitaji
1)Mayai yaliochemshwa (kata pande 2 kila yai)
2)Viazi
3)Mayai mabichi
4)Garam massala
5)Pilipili manga
6)Pilipili ya kuwasha
7)Limao au ndimu
8)Bread crumbs au unga wa ngano
9)Chumvi kiasi
10)Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha
1)Chemsha viazi hadi kuwiva then bonda bonda hadi iwe laini
2)Add chumvi,garam masala,pilipili na ndimu...changanya vizuri
3)Then tengeza duara kwa hivo viazi then weka kipande cha yai kati...weka pembeni
4)Pakaa unga hizo round za viazi na mayai....
5)Weka mafuta katika karai jikoni yapate moto
6)Vunja mayai then yachanganye vizuri....then chukua hizo round tia kwenye mayai hakikisha mayai yanaenea vizuri
7)Dumbukiza katika karai na kaanga hadi ziwe brown
8)Egg chops tayari kwa kuliwa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
jamani kwa muonekano tu huku mie mate yamenijaa
Yummy!!!
Shukran ukhti,na hivi kesho ni jumapili!!!!

Namie mgeni wako...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
asante.i will try kupika kwa kweli
iwapi juisi na maembe na chatne?
Chagua kinywaji tu!!
Ahlan wa Sahlan habibty
Juice ya peshen au nanasi...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hahaha lol upatie na juice yako tu pembeni au chai ya maziwa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Yummy!!!
Shukran ukhti,na hivi kesho ni jumapili!!!!
Mi nakutamania unavojua kupika jamani hadi raha