Egg chops

Mahitaji

1)Mayai yaliochemshwa (kata pande 2 kila yai)
2)Viazi
3)Mayai mabichi
4)Garam massala
5)Pilipili manga
6)Pilipili ya kuwasha
7)Limao au ndimu
8)Bread crumbs au unga wa ngano
9)Chumvi kiasi
10)Mafuta ya kupikia



Namna ya kutaarisha


1)Chemsha viazi hadi kuwiva then bonda bonda hadi iwe laini

2)Add chumvi,garam masala,pilipili na ndimu...changanya vizuri

3)Then tengeza duara kwa hivo viazi then weka kipande cha yai kati...weka pembeni

4)Pakaa unga hizo round za viazi na mayai....
5)Weka mafuta katika karai jikoni yapate moto


6)Vunja mayai then yachanganye vizuri....then chukua hizo round tia kwenye mayai hakikisha mayai yanaenea vizuri

7)Dumbukiza katika karai na kaanga hadi ziwe brown


8)Egg chops tayari kwa kuliwa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 



Cc BAK, amu King'asti Ennie SHERRIF ARPAIO Ablessed shansarie BHULULU Nyani Ngabu Swts Chocs Mrs Kharusy Angel Nylon Heaven on Earth mimi49 na wengine
 

Attachments

  • 1393675134733.jpg
    18.9 KB · Views: 895
  • 1393675150091.jpg
    29.5 KB · Views: 892
Last edited by a moderator:
Yummy!!!
Shukran ukhti,na hivi kesho ni jumapili!!!!
 

asante.i will try kupika kwa kweli
 
Farkhina unanifurahishaga hapo tu.....mashaallah. mwanamke jiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…