EGM anaweza kusoma computer science?

inawezekana ila kama ulipiga science o level.
Ila nakushauri uachane na hizo mavitu sijui computer nini hizo.Kwenye ajira hawataangalia cheti chako ila wataangalia utaalamu wako.Raia wanasota sana mtaani na hzo course.Kombi yako ni nzuri sana kwa kuchagua course tofauti na hizo.Pale Ardhi karibu course zote zitakufaa pia Geology udsm na udom ni nzuri.
#NI ushauri tu. you can take it or leave it.
 

thx! Kw ushaur wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…