BRN hiyo kaka ni comb mpya hiyo na masomo hayo uliyoyatajaPGE Ndio mchepuo gani? au BRN imeanzisha? yaani Physics, Geography + Economics au sio?
tuition za kupm tena mhhh kwa nini usiweke contacts zako wazi, mnapatikana wapi, namba ya simu, biashara ni matangazo mkuu[/QUO
Hata PM inatosha kwa wale wenye uhitaji mkuu kuweka namba ya simu hapa sio kila mtu anapossitive mind kama wewe.