Egypt to help Tanzania build huge dam on Rufiji River

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Egypt to help Tanzania build huge dam on Rufiji River
Source: Xinhua| 2018-10-21 23:10:50|



CAIRO, Oct. 21 (Xinhua) -- An Egyptian leading construction company has won a tender to design and build a huge dam on Tanzania's Rufiji River, the Egyptian presidency said in a statement on Sunday.

The government-run Arab Contractors has been assigned to build Stiegler's Gorge dam considered by Tanzania as one of the most important national projects for power generation, said Egyptian presidential spokesman Bassam Rady in the statement.

Rady said Egyptian President Abdel-Fattah al-Sisi was invited in a phone call by his Tanzanian counterpart John Magufuli to lay the foundation stone of the planned hydroelectric dam.

"The dam construction will be done in a way that brings pride to Egypt, Tanzania and Africa," Sisi told Magufuli, stressing that it will be a model for cooperation between African states.

The two leaders hailed the bilateral relations between Egypt and Tanzania, as well as the prospects of further economic cooperation.

Tanzania and Egypt share the Nile river along with nine other Nile Basin countries including Ethiopia, which is currently building a giant dam named the Grand Ethiopian Renaissance Dam, raising concerns from Egypt, a downstream country, about its annual share of the Nile water.

Copyright © 2000-2018 XINHUANET.com All rights reserved.

Egypt to help Tanzania build huge dam on Rufiji River - Xinhua | English.news.cn
 
Sio kwamba wanatusaidia kujenga, sema wameshinda tenda ya ujenzi wa bwana la stigler's geoge
Hapana hawajashinda tenda, bali wanatoa mchango wao wa HALI NA MALI ili nchi ijielemeze katika matumizi ya maji ya mito mingine na si maji ya ziwa Victoria ambao ni chanzo cha mto Nile na hivyo kuathiri kwa namna moja ama nyingine flow ya maji kule downstream Egypt!

Kama utakumbuka tumeshawahi kuwa na mgogoro na Egypt juu ya uhalali wa kutumia maji ya mto Nile kiasi kwamba kauli kali kali zilitolowe kutoka pande zote mbili.

Iwapo nasisi tungeamua kutumia maji ya Mto ile au Victoria kwa kiasi kikubwa huku tayari Ethiopia wamekamilisha Bwawa kubwa la Kuvuna Umeme basi ni dhahiri kabisa watu Wamisri utegemezi wao wa maji kutoka chanzo hiki baada ya miaka si kumi ingekuwa hatari sana.

Hivyo kama namna ya kuzuia hili lisitokee (kwa sababu wameshindwa kumzuia Methiopia) kwetu wameamua kutusapoti tutumie vyanzo vingine vya maji katika kufua umeme na matumizi mengine na sio maji ya Nile au Victoria!

Hakuna cha kushinda tenda wala nini!
 
Hivi nini chanzo au maana ya hili jina Stigler's George
 
Sasa Rufiji basin wapi na wapi na Victoria?

Hii dam itacost sio chini ya trillion 4,

Hakuna taifa duniani linaweza kutoa pesa yote hii kama msaada

Halafu tokea lini misaada ikatolewa kwa system ya biding?
 
Tunaomba ushahidi kwa hili inalosema kaka, ujenzi wa Siglers dam unakadiriwa kufikia $1.5B, nchi gani duniani inayoweza kusaidia kiasi hicho cha pesa eti ili Tanzania isitumie MAJI ya ziwa Victoria?

Kwa taarifa yako, Tanzania inayatumia hayo MAJI katika kusambaza katika mikoa ya jirani na Egypt iliridhia ktk hilo, ila mkataba unakataza tusitumie katika shughuli za KILIMO na uzalishaji UMEME, Tanzania hatuwezi kutumia katika matumizi ya UMEME kwasabu hakuna falls upande WETU kama ambavyo hatuwezi kuzalisha UMEME katika lake Nyasa na Tanganyika.
 
Ukabila unaletwa na siasa. Nyanja zingine wakenya wanashirikiana kwa mfano biashara na pia ndoa .watu wa kabila tofauti wanaoana. Pia mashuleni hakuna ukabila
Ni kweli ukabila hauletwi na siasa bali huletwa na wanasiasa kitu ambacho wanasiasa wa Kenya wamefanimiwa katika hilo!

Kushirikiana katika ndoa na biashara haifichi "ukabila" wa mtu. Mauaji ya Rwanda ni mfano mzuri!

Mashuleni hakuna ukabila?...kwamba mtu mwanafunzi mluo anayetokea Migori na anasoma Katika shule ya upili kwenye kaunti za Wakikuyu kule mashinani kabisa hawi treated tofauti na wenyeji wanafunzi wa eneo hilo?
 
Sasa Rufiji basin wapi na wapi na Victoria?

Hii dam itacost sio chini ya trillion 4,

Hakuna taifa duniani linaweza kutoa pesa yote hii kama msaada

Halafu tokea lini misaada ikatolewa kwa system ya biding?
Mkuu REDEEMER. Walau ungenisoma kwa kutulia bila shaka ungenielewa!

Ila kwa sababu umesoma kwa hasira, na hasira hufubara kufikiri vizuri, basi nimechagua kukuelewa kwa sababu ya usomaji wako wa hasira!
 
Mkuu joto la jiwe

Tunaposema msaada hatumaanishi kulifanya jambo lite, bali unaweza kutoa kiasi au kutoa chote kufanikisha jambi flani. Hicho ndicho nimesema na kitafanyika.

Ukitaka nikupe ushahidi unataka ushaidi upi wakati mimi mwenyewe labda ndio ushahidi wenyewe ambai wewe huuamini?🤣

Si kwamba maji ya victoria hayawezi kutumika kwa kuzalisha umeme kwa sababu eti hakuna falls!...pale Mtera na Hale kuna natural falls?...tujifunze kujifunza pia kwa wengine!

Kwa taarifa yako tu, Egypt ipo tayari kufanya lolote hata kuingia vitani iwapo tu kuna hali ya utumizi wa maji yanayoza kukausha au kudisturb flow ya maji kuelekea kwao!
 
Nipe mfano mmoja ambapo mwanafunzi wa kiluo alipata mistreatment kutoka kwa wakikuyu maana inaonekana nyie wabongo mnajua mengi kuhusu Kenya kutuliko
Hata nikikupa huta sadiki Jane!

Utakachoweza kusadiki ni pale nitakaposema Wazungu wanawape da Wakenya sana sana kuliko wanavyojipenda wenyewe!
 
Nyie mnaopost habari njema namna hii wakati mwingine mnanisababisha kukosa usingizi usiku,..., I'm dieing of curiosity, eagerly waiting to see these things happen in our country! Yaani kama naota vile!
 
"Stiegiler's gorge itajengwa kwa namna yoyote ile,iwe mvua iwe jua,hakuna cha kuathiri mazingira wala nini,kwani kukata miti si unakata tu..kwani kuna miti mingapi hii Tanzania nzima hadi kukata miti hii michache tuwe tumeharibu mazingira?..nasema hivii stiegiler itajengwa kwa gharama,hela zipo,na bajeti tayari ishapitishwa!!"by mh. john pombe magufuli
Watanzania huyu ndo raisi tuliyekuwa tunamhitaji!mazingira sisi tu waafrica,mbona wao wanatengeneza mabomu ya nuclear huko kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…