Eh! Kumbe Hasheem Thabeet kachafua hivi!?

Eh! Kumbe Hasheem Thabeet kachafua hivi!?

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Jamani! Hasheem Thabeet amechafua bwana. Mpaka hivi sasa ana baby momma wanne.
Jamaa muda mwingi anatumia kwenye viuno na sio court ku-ball. Dah! Kweli Mswahili Mswahili tu..
 
Attachments

  • Screenshot_2015-01-16-21-33-07.jpg
    Screenshot_2015-01-16-21-33-07.jpg
    249.6 KB · Views: 4,666
  • Screenshot_2015-01-16-21-33-00.png
    Screenshot_2015-01-16-21-33-00.png
    257.4 KB · Views: 4,107
  • Screenshot_2015-01-16-21-32-48.png
    Screenshot_2015-01-16-21-32-48.png
    392.9 KB · Views: 3,864
Uyu jamaa alichezea sanaa baati acha tu ajipoze kwa kupekenyua nyuchi za kitasha
 
kama wanajirahisisha kwake kisa ye staa unategemea nini? dunia imebadilika sahiv wwnawake wanaangalia una nini sio ukovipi... wengine wanakutana mitandaoni hata hawajafahamiana siku wakikutana wanakutania lodge hawajuani hata background au nini vibinti vya siki hizi ndo vinaongoza kiweka picha za mastaa kama sijui ile vijana wanaita mcm afu unamtag staa na kumpa sifa nyingi akikuomba namba jnapata mawashawasha nakutoa fasta ili ukomeshe watu mtaani wenu eti unatoka na staa hujui na yeye anakukomoa kwa kukuondolea utu mwisho ukishoonja penz la moja ili kulinda heshima ya umalaya na kujipendekeza kwako ili marafiki wasikucheke unaanza kujirahisha kwa wasanii kama sio ujinga huo nini.

kwanza mnisamehee hawa wa sahivi si mastaa ni wasanii tu wachache wa zamani ndo mastaa maana ni kioo cha jamii walikua wanaimba nyimbo na maigizo ya kuelimisha wa sahivi tuwaiteje sijui jukwaa la makahaba maana wasanii wamepoteza mvuto bongo freva na bongo movie kimekua kiwanda cha kuzalisha makahaba mashoga wavuta madawa wabeba unga sasa hao utawaita vipi mastaa.

ngoja nishie hapa ingekua mm ningerudisha bakurutu hapa
 
Haya, kiba alionyesha watoto wawili kelele nyiiingi, huyu jamaa kwa kuwa anasugua utashani kaonekana poa, ndio maana miguu imelegea ball limemshinda.
 
Haya, kiba alionyesha watoto wawili kelele nyiiingi, huyu jamaa kwa kuwa anasugua utashani kaonekana poa, ndio maana miguu imelegea ball limemshinda.

dah watu mna maneno
 
incogneato Wrote on US Forum 06-08-2010, 06:30 PM

"He loves the birds/groupies and stays in the strip club. He has poor focus on his career, probably because he spends all his time and energy trying to pary, socialize and chase women. He is not the kind to have just 1 girl from what I have seen. He is too young, and waaaay to excited to be in the league and have some $."
 
Kawaida tu ukiwa star US.hao mademu wenyewe wale wale black american wanatafuta fursa.ikifika hasheem hana sko ni kwamba hela yoote aliyotundika itabaki kwa watoto aliozaa na wazazi wao.halafu bahari mbaya sana US sasa wakikusanction wanakufatilia popote ulipo utalipa tu.ushauri wa bure ni kwa hasheem aendelee kukomaa na huyo demu wako nae kitambo.
 
Anataka kujaza ulimwengu,so muda sio mrefu atarudi UDSM Outsider
 
Anataka kujaza ulimwengu,so muda sio mrefu atarudi UDSM Outsider

Kibongo bongo bado anachukua hela ndefu maana kwa mwezi ni USD 100,000(Sawa na milioni 180 za Tanzania).Mwanzoni alikuwa anachukua USD 400,000 kwa mwezi.
 
Maisha ya mtu hutafuta na kuyaendesha anavoona inamfaa,yy kachagua kutengeneza shi hivo cc haituhusu,kupanda kwake ilikuwa juhudi zake hata kuishi hivo ni juhudi zake,acha maisha yasonge,
 
Kibongo bongo bado anachukua hela ndefu maana kwa mwezi ni USD 100,000(Sawa na milioni 180 za Tanzania).Mwanzoni alikuwa anachukua USD 400,000 kwa mwezi.
Kwa siku,kwa mwezi,kwa mwaka or mkataba wote?Nahisi kama unataka kusema uongo hivi unless utanipa source ya kuaminika tofauti ulichoandika ni uongo.
 
Kwa siku,kwa mwezi,kwa mwaka or mkataba wote?Nahisi kama unataka kusema uongo hivi unless utanipa source ya kuaminika tofauti ulichoandika ni uongo.

kama ni hivyo basi atakuwa amempiku mpaka jk
 
Haya, kiba alionyesha watoto wawili kelele nyiiingi, huyu jamaa kwa kuwa anasugua utashani kaonekana poa, ndio maana miguu imelegea ball limemshinda.

Hahahaaa
:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Back
Top Bottom