Hajui condom eeeh
Haya, kiba alionyesha watoto wawili kelele nyiiingi, huyu jamaa kwa kuwa anasugua utashani kaonekana poa, ndio maana miguu imelegea ball limemshinda.
Anataka kujaza ulimwengu,so muda sio mrefu atarudi UDSM Outsider
Kwa siku,kwa mwezi,kwa mwaka or mkataba wote?Nahisi kama unataka kusema uongo hivi unless utanipa source ya kuaminika tofauti ulichoandika ni uongo.Kibongo bongo bado anachukua hela ndefu maana kwa mwezi ni USD 100,000(Sawa na milioni 180 za Tanzania).Mwanzoni alikuwa anachukua USD 400,000 kwa mwezi.
Kwa siku,kwa mwezi,kwa mwaka or mkataba wote?Nahisi kama unataka kusema uongo hivi unless utanipa source ya kuaminika tofauti ulichoandika ni uongo.