Eh! Kumbe Hasheem Thabeet kachafua hivi!?

Maisha ya mtu hutafuta na kuyaendesha anavoona inamfaa,yy kachagua kutengeneza shi hivo cc haituhusu,kupanda kwake ilikuwa juhudi zake hata kuishi hivo ni juhudi zake,acha maisha yasonge,

umesoma lakini article za wadau kwenye hiyo picha? akizaa anatelekeza hatoi matunzo wala mawasiliano!
 
Ndo kachagua kuwa hivo,km ambavo wngne wameamua kuchagua kuwa majambazi, wachawi,nk
 
kwa mwendo huu .....soon atarudi dsm kuja kuuza chips.....
 
Raha ya mume muwe wanne😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…