Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Haya, yale yasiyooleka bado yapo yapo tu, mwenzenu huyooooo licha ya kumsema sana!
 
Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

Jina lake Hussein Khamiss

Mara paaaah shida kwa muoaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…