Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Baada ya kelele nyingi za uhaba wa usafiri, au niseme kero ya mwendokasi.
Miruzi ilikuwa mingi kuhusu uwezekano wa Mwendokasi kupata utatuzi na utatuzi ni kuleta Gari mbadala zitazoingia mjini na kutoka?
Hivi ile project iliishia wapi?
Nilisahau kabisa leo nikaamua nisubiri mwendokasi Pale kibanda cha mkaa.. aisee nimeondoka baada ya lisaa limoja na gari limejaa kweli kweli. Au bado lipo kwenye mpangilio wajuvi wa mambo?