Eid El Fite: ''Blue Hawaii'' Elvis Presley Empire Cinema 1964

Wakati tuko wadogo babaangu alikua anawasikiliza sana The beatles..

Nyimbo zao nasikiliza mpaka leo..
yeah nice wale jamaa walikua wanajua Sana,ila
Bee Gees/Brother Gibbs walikuja kuvunja code za hao miamba Maana walikuja hot baada ya
The Beatles kuvunjika,
John Lennon,Paul McCartney kwenda solo!
 
Hasaaa Sheikh Mohammed, sisi tusiokuwa na lugha nyingine tunasema nyimbo na siyo wimbo.
 
Halafu siyo 'rahaja' ni 'lahaja'
 
Kwa exposure uliyonayo huwa nawashangaa sana vijana wanao kupinga. Maandiko yako.ukipata utange kitabu kuhusu maisha kwa faida ya vijana huko mbeleni.kitakuwa kitabu kizuri sana.
 
Kwa exposure uliyonayo huwa nawashangaa sana vijana wanao kupinga. Maandiko yako.ukipata utange kitabu kuhusu maisha kwa faida ya vijana huko mbeleni.kitakuwa kitabu kizuri sana.
Kabwe...
Ahsante sana ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…