Eid hii hapa wananzengo

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,851
Salaam!

baada ya salama niende moja kwa moja kwenye mada. Ni juzi tu hii wakuu mmekula pasaka tena bila kujali hamkutualika wala nini mkawa mnajichana kivyenu vyenu.

Sasa wakati wa kuwanyoa umefika, tunaomba kwa heshima na taadhima kabisa mkae majumbani kwenu, Corona ipo sawa? [emoji23]

Kama kuna mtu ana dukuduku, apige huduma kwa wateja jumatatu, hatufanyi kazi wikiendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
thA goD, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukaribishane tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…