hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 399 Reaction score 992 Apr 10, 2024 #21 Dkt. Gwajima D said: Ninayo na Niko verified, sijaelewa kwa nini hii alama ya verification haionekani kwenu, ila mimi naiona, Ngoja ni consult tena kwa Maxence Melo Click to expand... Inaonekana vizuri kabisa muheshimiwa, heri ya sikukuu ya idi kwako pia🙏
Dkt. Gwajima D said: Ninayo na Niko verified, sijaelewa kwa nini hii alama ya verification haionekani kwenu, ila mimi naiona, Ngoja ni consult tena kwa Maxence Melo Click to expand... Inaonekana vizuri kabisa muheshimiwa, heri ya sikukuu ya idi kwako pia🙏
Dkt. Gwajima D Minister Joined Nov 28, 2015 Posts 966 Reaction score 6,019 Apr 10, 2024 Thread starter #22 hsnaturalfertility said: Inaonekana vizuri kabisa muheshimiwa, heri ya sikukuu ya idi kwako pia🙏 Click to expand... Shukrani Sana, Heri kwako pia ndugu yangu katika 🇹🇿 Nashukuru kwa kunipa mrejesho kuwa, kumbe utambulisho wangu unasomeka verified👏👏👏
hsnaturalfertility said: Inaonekana vizuri kabisa muheshimiwa, heri ya sikukuu ya idi kwako pia🙏 Click to expand... Shukrani Sana, Heri kwako pia ndugu yangu katika 🇹🇿 Nashukuru kwa kunipa mrejesho kuwa, kumbe utambulisho wangu unasomeka verified👏👏👏
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 6,346 Reaction score 14,546 Apr 10, 2024 #23 Heri ya sikukuu ya Idd na kwako pia Mheshimiwa