EID MUBARAK: Baada ya kuufinya mpunga, mtoko utakuwa wapi?

Analog

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
323
Reaction score
618
Eid mubaraak ndugu zangu, ramadhaan imekamilika na Eid fitr imeingia hatuna budi kusherehekea.

Panapo majaaliwa kesho nikiufinya mtoko utakuwa kwenda kuwatembelea wagonjwa.

VIPI WEWE MTOKO WAPI?
 
Iringa uwezi Kuta mbwa anaka karibu na jiko hv
 
Yani we mtoko hadi sikukuu?tafuta pesa mkuu
 
"waifizina ukiona kimya ujue sina".

Imeangukia siku mbaya sana ,ilitakiwa iangukie Alhamis ,Bakwata Safari hii wametuyeyusha.
 
Pande flani za dwasi zinavutwa bangi 8 au 10,konyagi ndogo narudi kucheza na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…