Eid Mubaraq to all Jf users

Mashaallah!! Leo ni siku ya kula na kunywa, kwa kwenda mbele.
 
Kwa kuwa mambo yamekwenda kama ulivyotaka, najua utakuwa umeyatendea haki maandalizi ya Eid.

Eid njema Madame S
 
Madame S na mvua hii natokaje kwa mfano...kwa muda huu niko mitaa ya mikanjuni hakufai..
 
Eid Mubarak watu wangu wa nguvu..❤️
 
madam s Asalama Alykum Sister, nina shida na wewe Muhimu sana, Naona DM yako imefungwa. Naomba tuwasiliane Ukhti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…