Mleta mada bila shaka utakua unajuana na huyo jamaa aliyeanguka hapo au umeamua tu kuitumia JF ili kumdhalilisha,
Ukiangalia kwa umakini hiyo picha unaona kabisa kua chanzo cha jamaa kuanguka ni hilo bench alilokua amelikalia kuvunjika katikati,
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kua kaanguka coz ya ulevi,na hata kama alikua amekunywa ila root cause ya yeye kuanguka ni hilo bench kuvunjika,
Hizo chupa zilizopo pembeni mwake zinaonekana kabisa kua ni za zamani na zipo hapo kabla hata ya huyo jamaa kuanguka.