Eid: Njoo tuambie utapendeza kwa vazi lipi kwenye mtoko wako wako eid?

Eid: Njoo tuambie utapendeza kwa vazi lipi kwenye mtoko wako wako eid?

Analog

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
323
Reaction score
618
Kupendeza hasa unapotoka ni katika namna ya kuisherehekea, mim nitatokelezea kwa namna hii( T-shirt nyeupe, surual ya kadeti na raba nyeupe).
Vip kwako, mtoko upi utatokelezea nao..?
 
mim badae natimba wavuvi camp kucheki game ya PSG na Barcelona huku ni kila mishaki na pepesi ya Baridi.mim sio mumuni wakuvaa sana ila kula na kungalia mechi kweny mabaa makubwa ndio jadi yangu
 
Anaetaka beer za sikukuu aje hapa Rongoni beach kigamboni
 
Unwauliza wananchi maskini hawa kuhusu nguo hata chakula hawajui watakula nini [emoji706]
 
Utaniachia kipande kimoja basi 😅
Anachekewa nipo maeneo ya Mwenge karibu karibu na Pizza hut
IMG-20240410-WA0003.jpg
 
Kupendeza hasa unapotoka ni katika namna ya kuisherehekea, mim nitatokelezea kwa namna hii( T-shirt nyeupe, surual ya kadeti na raba nyeupe).
Vip kwako, mtoko upi utatokelezea nao..?
Acha hizo, waarabu walishaweka vazi la taifa lao ndio litumike. Ndio vazi pekee Mungu analitambua, haya mengine ni takataka.
 
Back
Top Bottom