Eid ulisheherekea vipi?

Hivi hapa mnazungumzia nn? Asee hii hangover kila nikisoma post naona zipo mbilimbil.............kwa kweli IDD ya jana Ndovu na Mdudu walipa habari zao......
:hippie:
 
Jana nilitulia mahali na ka saint anne na Fidel80 pembeni

:lalala::lalala::lalala::clap2::clap2::clap2::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::tea::tea::tea:
 
Hivi hapa mnazungumzia nn? Asee hii hangover kila nikisoma post naona zipo mbilimbil.............kwa kweli IDD ya jana Ndovu na Mdudu walipa habari zao......
:hippie:

Vipi DOVUTWA akuonekana uko?
 
Kabaila/dhalimu/nduli/beberu wa wajukuu.....
Hapa anatukanwa nani?

Hivi hapa mnazungumzia nn? Asee hii hangover kila nikisoma post naona zipo mbilimbil.............kwa kweli IDD ya jana Ndovu na Mdudu walipa habari zao......
:hippie:
We kumbe ndio uliniharibia Iddi yangu......:A S angry::A S angry::A S angry:
 
Kwa ajili ya hangover yako nakuandalia thupu ya swala
 
Vipi DOVUTWA akuonekana uko?

hahaha Dovutwa alinitosa cjui kajichimbia wapi?
Hapa anatukanwa nani?

We kumbe ndio uliniharibia Iddi yangu......:A S angry::A S angry::A S angry:
hivi kutaja majina kwa sheria mpya ya JF ni kosa Eh?
Babu hata Cm ulikua hupoke wewe bana........ukiwa na wajukuu unakua mkali cjui kwa nn...:A S angry::A S angry:
 
2+2 ni ngapi tena hommie?
kama 1 x 1 =1, then 2x2=2...Hivi ulimaanisha jumlisha au zidisha?

hahaha Dovutwa alinitosa cjui kajichimbia wapi?

hivi kutaja majina kwa sheria mpya ya JF ni kosa Eh?
Babu hata Cm ulikua hupoke wewe bana........ukiwa na wajukuu unakua mkali cjui kwa nn...:A S angry::A S angry:
Wajukuu wengine wanashika sharubu za babu bila ridhaa yake.
 
Jumatatu ya leo kiboko....yaani mkoloni hajaingia ofisin hadi saa hizi saa nane....
Inakuwaje tena FL1??? Umeitundika hii picha wakati nilikuambia ni konfidensho?......:doh::doh:....
Nacheki na ivii akupige bana.....

Mkoloni mwenyewe ana hangover RR..sikukuu ilikuwa kwa wote
 
Thanx in advance mamiee ngoja nifanye ligistic hapa nije hapo kupata supu ya swala.....upendwa raha jamani...

Vp tena babu?

Naproccess ban ya maisha...
 
Maslahi yako ni maslahi halali ya babu...kuna ubishi hapo hommie?
hakuna ubishi hommie mi na wewe hatudhuriani........ndo maana nafanya logistic hapa nikamsalimie mjukuu MJ1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…