The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Mama Bigi hebu muulize digidigi kwanini anadanganya wakubwa zake.....if he could have done the needful, then our answers on this question would be the same....
Supu ya ukoo wa digidigi bana...mark that!
Tatizo hii mada mheshimiwa spika ina balance upande mmoja halafu spika na wewe umenogewa na mada unachangia badala ya kuangalia maslahi ya pande zote mbili
Itabidi ukiombe kikao msamaha kwa kudanganya kwenye intro ya mama kwanza
Hivi kwani intro nilitoaje wewe si bado mama wa kwanza au?
Ndio nini tena vile
We sema polepole big atasikia bure.... mama kwanza ni tofauti na mama kubwa:nono::nono:
Mama B anachukua digidigi aliyenona....anakata ukoo...anachemsha....anaweka mezani na ndimu na pilipili...then me :hungry:
πeep:πeep:πeep:Mama B anachukua digidigi aliyenona....anakata ukoo...anachemsha....anaweka mezani na ndimu na pilipili...then me :hungry:
:rip::rip:
Hayupo hata VIA MOBILE pia hayupo, basi mwenyewe kila akikukumbuka anacheka kweli