la Jeneral
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 392
- 57
Swala la punyeto naamini 100 perc analikung'uka sana...huyu jamaa ni muhindi-mbongo...!!
mwambie ajaribu akitoka tu ofisini arudi kupumzika ahakikishe kila siku analala masaa yasipungue nane au saba hivi na awe amekula vizuri hiyo hali itarudi tu, yaani kwa kifupi kazi zinakuchosha mkuu ila muda ukienda ukazoea hiyo kazi utakuwa fresh tu
Mwambie aendelee kutumia tu hizo dawa za depression, kwani pamoja na kumtibu hayo matatizo yake ya hiyo depression; vilevile zinamfanya mtu achelewe ku-ejaculate. Je anaweza ku-maintain erection hata kwa mda kidogo?.et list u say smthng...nikweli jamaa ana stress....na alishawahi pata depression kama 2 yrs back....kazi yake sio ngumu kiivyo..ni kama customer care',.
swala la punyeto naamini 100 perc analikung'uka sana...huyu jamaa ni muhindi-mbongo...!!
jaman madaktari hv n nn chanzo cha premature ejaculation na je inatibika hostali na kama hapana kuna tiba yeyote? Naomba msaada!
Mix Konyagi,sminorf,valuer na mkongoraa.
Haki ya nani heshima ya ndoa itarudi.