I hope nyote n wazima napenda kulileta swali hili kwenu wataalam wa mambo.... Mvulana akiwa ana sexyy alafu ikafka hatua ya ku ejaculate akaamua kujibana ili msicha aanze yeye je? Kitendo cha huyu mvulana kujibana na kuzirudsha mbegu zake ndan..... Kina weza kumletea matatizo katka mfumo wake wa uzaz?????