Ejaculation

Huck

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
201
Reaction score
85
Je ni kweli kwamba ejaculation kwa mwanaume inasaidia kupunguza uzito? kama ni kweli ni kwa kiasi gan per single ejaculation?
je a single ejaculation ni sawa na kukimbia kwa umbali gani?

msaada tafadhali
 
uzito wako wewe kwanza niujue
halafu nitakupa formula
km utataka kwa besheni /pulling
au km ni changu au nyumba ndogo au Wife
wote hao calculatae ni tofauti
 
uzito wako wewe kwanza niujue
halafu nitakupa formula
km utataka kwa besheni /pulling
au km ni changu au nyumba ndogo au Wife
wote hao calculatae ni tofauti

nina 74kg

nataka kwa besheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…